Cindy kunyang'anywa gari na Mario
Ugomvi uliopo kati ya wasanii Cindy Sanyu na Mario Brunette ambaye ni baba mtoto wake, umechukua sura mpya baada ya Mario kutishia kumnyanganya msanii huyu gari ambayo alimpatia kipindi ambacho walikuwa wakiishi pamoja.