Malkia kuja rasmi na 'Ogopa Kopaz' msanii wa Mipasho Khadija Kopa akiwa na wanawe Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa ameweka wazi kuwa ameamua sasa kufanya kazi ya nguvu pamoja na watoto wake kupitia kundi ambalo amalelitengeneza linalokwenda kwa jina "Ogopa Kopas". Read more about Malkia kuja rasmi na 'Ogopa Kopaz'