Ebola Viwanja vya Ndege

Marubani wa Ndege nchini wametakiwa kutoa taarifa mapema endapo watabeba abiria anayehisiwa kuwa na dalili za ugonjwa hatari wa ebola ili wanapofika katika viwanja vya ndege waweze kudhibitiwa na Wataalam wa afya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS