EALA lafurahishwa na utendaji wa vyombo vya IPP
Ujumbe wa Tume ya Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki leo umetembelea vyombo vya habari vilivyo chini ya makampuni ya IPP na kuelezea kuridhishwa na umahiri pamoja na teknolojia ya kisasa inayotumiwa na vyombo hivyo katika uandaaji wa habari.