Ziara ya Wabibi Nai Yafana
Muongozaji wa video nchini Abbas Adam amerejea nchini na crew nzima ya msanii Wabibi wakitokea jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kutafuta soko la kuutangaza wimbo mpya uliobatizwa jina 'Kitenge' uliomshirikisha Mesen Selekta.