Mchezo KMC FC dhidi ya Simba SC kuchezwa Novemba 6

Simba SC inashika nafasi ya tatu ikiwa imejikusanyia alama 22 itaweza kupanda mpaka nafasi ya pili msimamo wa ligi  ikifanikiwa kupata matokeo ya ushindi dhidi ya KMC FC siku ya Jumatano Novemba 6.

Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imefanya maboresho ya ratiba ambapo mchezo wa Ligi Kuu namba 82 kati ya Simba dhidi ya KMC sasa utapigwa Jumatano, Novemba 6. Mchezo huo ulikuwa umepangwa kuchezwa Jumanne ya Novemba 5 katika Uwanja wa KMC.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS