CAG abaini udhaifu katika ukusanyaji wa mapato Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Ludovick Utouh. Ofisi ya mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali imebaini udhaifu mkubwa wa baadhi ya halmashauri za wilaya nchini kuwa zimekua zikihujumiwa na kushindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato. Read more about CAG abaini udhaifu katika ukusanyaji wa mapato