Bodi ya ligi TZ kukutana na TFF kujadili mapungufu
Baadhi ya viongozi wa juu wa TFF ambao watakutana na uongozi wa bodi ya ligi Tanzania TPLB.
Bodi ya ligi Tanzania TPLB imesema wanataraji kuwa msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara na ligi daraja la kwanza 2014/2015 utakuwa ni msimu wa mafanikio kuliko msimu uliopita wa 2013/2014