Samuel Sitta akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi wa Bunge la katiba
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta ameunda kamati ndogo yenye ujumbe wa watu 10 kwa ajili ya kushughulikia masuala ambayo hayakufikia muafaka kwenye Kamati 12 za Bunge hilo.