Ratiba ya ligi kuu Tanzania Bara 2014-15 yatolewa Ratiba ya Ligi Kuu msimu wa 2014-15 Msimu wa ligi kuu 2014-15 utaanza Septemba 20 huku ligi ya msimu huu ikiwa na mechi za mwisho wa juma pekee. Katikati ya juma kutatumika kwa mechi za viporo. Read more about Ratiba ya ligi kuu Tanzania Bara 2014-15 yatolewa