HANS PASTORY

Nimezaliwa 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3, Nina kaka 1 na dada 1

Ninaishi na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana KWA JINA LA HANS POP

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA (7)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: MFANYABIASHARA

 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS