Mbatia na sheria ya mabadiliko ya katiba

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia.

Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi ambaye ni Mwenyekiti mwenza wa kundi la Umoja wa Wananchi UKAWA, ameshangazwa na kile alichokiita kuwa ni upindishaji wa sheria juu ya uhalali wa kusitishwa au kutositishwa kwa Bunge Maalum la Katiba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS