TLS kufungua kesi mchakato wa Katiba mpya Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimesema kitafungua shauri mahakamani kesho kuomba tafsiri ya kisheria kuhusu uhalali wa mchakato wa katiba mpya kuendelea. Read more about TLS kufungua kesi mchakato wa Katiba mpya