Wazee Dar wazungumzia mchakato wa Katiba Mpya
Baadhi ya wazee wa mkoa wa Dar es salaam wamewataka watanzania kutowazomea wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba hasa wale wanaotokana pande hasimu za Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA na wale wa Tanzania Kwanza.