Muda wa usajili Ligi Kuu waongezwa siku 10 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeongeza kwa siku kumi muda wa kumalizika usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL). Read more about Muda wa usajili Ligi Kuu waongezwa siku 10