Rais hawezi kusitisha Bunge la Katiba - Werema

Mwanasheria mkuu wa serikali nchini Tanzania Jaji Fredrick Werema

Mwanasheria mkuu wa serikali nchini Tanzania Jaji Fredrick Werema amesema hakuna sheria inayompa mamlaka Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kulivunja bunge maalum la katiba

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS