TFF kurejesha ofisi zake Karume

Ofisi za TFF zilizopo Karume DSM

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS