Watu 4 wafariki kwa kuangukiwa na jiwe Mwanza

Baadhi ya wakazi wa mabatini Mwanza wakifuatilia kazi ya uokoaji

Watu wanne wa familia mbiili tofauti wakazi wa mtaa wa Nyerere A, eneo la Mabatini jijini Mwanza wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuangukiwa na mawe wakiwa wamelala.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS