Radi yaua watu 14 kanisani Watu 14 wamefariki dunia na wengine 34 kujeruhiwa baada ya kanisa lililopo katika kambi ya wakimbizi ya Palabek kupigwa na radi katika wilaya ya Kaskazini mwa Uganda ya Lamwo. Read more about Radi yaua watu 14 kanisani