Majonzi ajali ikiua sita Simbawanga, 21 majeruhi
Watu sita (6) wamepoteza maisha na wengine ishirini na mmoja (21) kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyotokea leo Juni 28, 2025, katika eneo la Kona ya Ulinji, nje kidogo ya Mji wa Sumbawanga, mkoani Rukwa.