Dkt Mpango ataka Watanzania wajitoe kwa Taifa

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akizungumza na waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Bugozi Musuguri katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo Jijini Dar es salaam tarehe 01 Novemba 2024.

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, amesema katika kumuenzi Jenerali Mstaafu David Musuguri, inapaswa Watanzania wote yaani askari na raia kujitoa, hata ikibidi kufa kwa ajili ya kulinda na kutetea uhuru, heshima na maslahi ya Taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS