Baadhi ya wakazi wa Nkasi wakiwa katika usafiri wa mtumbwi kuelekea katika kituo cha afya
Zaidi ya watoto 150 wenye umri chini ya miaka mitano wamepoteza maisha tangu mwaka jana hadi sasa kutokana na kukosa miundombinu ya barabara wilayani Nkasi mkoani Rukwa