Arne Slot anayataka makombe yote msimu huu
Kocha wa Liverpool Arne Slot ameweka wazi tamaa aliyokuwa nayo ya kushinda ubingwa wa mkombe yote ambayo timu yake inashiriki msimu huu wa 2024-2025. Slot ameyasema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa Waandishi wa habari kuzungumzia mchezo wa EPL utakaochezwa Novembe 2 Anfield.