Gesi itapunguza kiwango cha umaskini - Utafiti Picha ya mgodi wa gesi. Utafiti unaonesha kuwa asilimia 55 ya wananchi wa Tanzania wanaamini kuwa rasilimali ya gesi na mafuta yatalinufaisha taifa, huku asilimia 45 wakiamini kuwa serikali na matajiri ndio watakaonufaika. Read more about Gesi itapunguza kiwango cha umaskini - Utafiti