Solomon Mkubwa ang'ara Solomon akiimba jukwaani Msanii wa muziki wa injili, Solomon Mkubwa ameweza kung'ara huko Kenya baada ya kuibuka kama mshindi wa tuzo maarufu za Groove, kupitia kipengele cha msanii bora kutoka Afrika Mashariki na Kati. Read more about Solomon Mkubwa ang'ara