Kampuni za simu zisaidie vijana wabunifu - Waziri
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa ameyashauri makampuni ya simu nchini Tanzania kuhakikisha kuwa yanasaidia kutatua changamoto za teknolojia kwa vijana wabunifu na wajasiriamali wa Tanzania.