Rukwa imalize tatizo la madawati - Pinda

Waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Kayanza Peter Pinda akisalimiana na wanafunzi wa shule ya awali hivi karibuni.

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, ameutaka uongozi wa mkoa wa Rukwa uhakikishe unamaliza tatizo la upungufu wa madawati ili watoto wa shule za msingi wasiendelee kukaa chini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS