Walemavu Dar waanza kupata maeneo ya biashara
Siku moja baada ya watu wenye ulemavu kufunga makutano ya barabara za Uhuru na Kawawa kupinga kuondolewa katika maeneo waliyokuwa wanafanyia biashara zao, uongozi wa Mkoa wa Dar-es-Salaam umeanza kugawa maeneo kwa walemavu hao.