Serikali kuja na kanuni upimaji gesi asilia

Mfanyabiashara akipima uzito na ujazo katika moja ya mitungi ya gesi asilia.

Wakala wa Vipimo nchini Tanzania (WMA), umesema upo kwenye mchakato wa kuandaa Kanuni za upimaji na vipimo vya gesi asilia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS