Umaskini kikwazo upatikanaji wa haki-Jaji mstaafu
Wananchi wenye kipato duni nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto ya kukosa haki zao za kisheria kutokana na gharama kubwa zinazotozwa na wanasheria katika utoaji wa huduma mbalimbali za kisheria hapa nchini.