Mo Cheddah kurejea katika muziki Mo Cheddah Msanii wa muziki Mo Cheddah kutoka Nigeria, ametangaza ujio wake mpya katika game ya muziki, hii ikiwa ni baada ya kukaa nje ya muziki kwa miaka miwili mfululizo kwa mapumziko. Read more about Mo Cheddah kurejea katika muziki