Wanasiasa hamasisheni vita dhidi ya ukimwi-TACAIDS
Wanasiasa nchini Tanzania wametakiwa kutumia majukwaa kuhamasisha katika mapambano dhidi ya ugonjwa hatari wa Ukimwi hasa wakati huu ambapo nchi inaelekea kwenye chaguzi mbalimbali zikiwemo chaguzi za serikali za mitaa pamoja na uchaguzi mkuu.