Chama cha wenye ualbino chalaani mauaji ya mwezao
Siku moja baada ya jeshi la polisi kuwakamata watu watano wanaohusika na mauaji wa mtu mwenye ualbino, Chama cha watu wenye ualbino mkoa wa Mwanza TAS kimelaani watu wanaoendelea kutekeleza mauaji hayo na kutaka adhabu kali ichukuliwe dhidi yao