Iryn awaamkia Ma-DJ's wanyonyaji
Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Iryn Namubiru ameibuka na malalamiko kwa wadau wa muziki Uganda, hususan Ma-DJ's ambao wamekuwa wakitumia kazi zake kwaajili ya kujinufaisha bila kuwasiliana naye kuweka makubaliano.