Maombi ya mvua kufanyika Ijumaa
Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubeir, amewaagiza viongozi wa dini hiyo nchini kuwa siku ya Ijumaa ya Novemba 11, 2022, ni siku maalum kwa waislamu na Watanzania wote kumuomba Mungu mvua yenye heri na isiyokuwa na madhara.