Mashali agomea pambano lake na Nyilawila Thomas Mashali Bondia Thomas Mashali amegomea pambano lake dhidi ya Kalama Nyilawila kutokana na hali yake ya kiafya, licha ya kushinikizwa na waandaaji wa pambano hilo kutinga ulingoni siku hiyo. Read more about Mashali agomea pambano lake na Nyilawila