Waziri wa Uchukuzi na mbunge wa Kyela akitembelea baadhi ya maeneo yaliyothirika na mafuriko Wilayani Kyela
Wananchi wa wilaya ya Kyela wameathiriwa kwa kiwango kikubwa kutokana na mafuriko yaliyotokea mwaka huu na wanahitaji misaada ya haraka ili kuzuia athari zaidi.