Wachimba madini na kokoto watakiwa kukata leseni
Kamishna msaidizi wa madini kanda ya Mashariki na Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania imewataka watu wote wanaojishughulisha na utafutaji wa madini ikiwemo uchimbaji wa kokoto na mchanga kupata vibali ili kuepuka usumbufu.