Uchaguzi mkuu Simba SC Juni 29, 2014

Baadhi ya wapenzi na wanachama wa klabu ya Simba

Kamati ya uchaguzi ya Simba imesema kuwa Uchaguzi mkuu wa klabu hiyo utafanyika Juni 29 mwaka huu na kutoa utaratibu mzima utakaofuatwa katika mchakato huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS