Shein awataka viongozi wa umma kuacha upendeleo
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduizi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka watendaji na wenye vyeo kazini kuacha tabia na mtindo wa kubebana kwa watu ambao hawastahili na badala yake watoe haki inayostahili kwa wahusika.