Sheria mbovu kikwazo cha uhuru wa habari - utafiti

Baadhi ya wadau wa habari nchini Tanzania wakijadili masuala mbali mbali ya utetezi wa haki ya kupata na kutoa habari

Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa matokeo ya utafiti unaoonyesha kuwa baadhi ya sheria kandamizi zimechangia kutokuwepo kwa uhuru wa vyombo vya habari hasa kwa idara za serikali kuwa kikwazo cha utoaji taarifa kwa vyombo vya habari.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS