TUCTA yataka kima cha chini kiwe 720,000/-

Katibu mkuu wa TUCTA, Nicholaus Mgaya

Shirikisho la vyama vya wafanyakazi TUCTA limesema litapeleka kilio chao cha kima cha mshahara kiwe angalau 720,000 kwa ajili ya kukidhi maisha ya sasa kwa mujibu wa utafiti uliofanywa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS