Historia kuandikwa Nyumbani Lounge leo
Tasnia ya burudani leo hii inatarajiwa kupendezeshwa katika mtindo wa aina yake na tamasha kubwa la Historia la Lady Jay Dee ambalo litafanyika Nyumbani Lounge, na kukutanisha wapenzi wa muziki wa mwanadada huyu Jijini Dar kuburudika pamoja.