Ng’anzi aanza kwa kukemea Askari wanaoomba rushwa Mkuu wa Kikosi cha usalama Barabarani nchini Ramadhan Ng’anzi amesema atawachukulia hatua za kisheria askari wa Kikosi hicho watakaobainika kuomba Rushwa na kuwaonea watumiaji wa barabara Read more about Ng’anzi aanza kwa kukemea Askari wanaoomba rushwa