"Vijiji viadhimishe wiki ya lishe"RC Sendiga

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga ameelekeza halmashauri zote mkoani humo kuandaa maadhimisho ya wiki ya utoaji elimu ya lishe bora katika ngazi za vijiji ili kukabiliana na tatizo la udumavu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS