Rais wa Guinea kugombea tena Urais Rais Obiang anaiongoza Guinea tangu mwaka 1979 Rais wa Guinea Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ambaye ameiongoza nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa muda wa miaka 43, amezindua azma yake ya kuwania tena muhula wa sita wa kuwa raia wa nchi hiyo. Read more about Rais wa Guinea kugombea tena Urais