Njaa kali kuikumba Sudan Kusini Takriban theluthi mbili ya idadi ya watu wa Sudan Kusini takriban watu milioni 7.7 huenda wakakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula kati ya Aprili na Julai mwaka ujao. Read more about Njaa kali kuikumba Sudan Kusini