Wananchi wahimizwa kuiunga mkono serikali
Wananchi wa Wilaya ya Kalambo wametakiwa kuendelea kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan ili kuhakikisha miradi ya maendeleo ikiwemo zahanati na vituo vya afya vinakamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma.