Bodaboda waonywa kupakia mshikaki Manyara Dereva bodaboda na abiria mshikaki Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Manyara, Mrakibu Msaidizi SP. Georgina Matagi, ametoa wito kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri waliopigwa faini kulipa kabla hawajachukuliwa hatua. Read more about Bodaboda waonywa kupakia mshikaki Manyara