Wahalifu mkoani Geita wapewa tahadhari

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Geita Safia Jongo, amewatahadharisha wahalifu wanaofanya mauaji na kukimbilia kwenye migodi ya uchimbaji madini kwa kuigiza wao ni wachimbaji kutafuta sehemu nyingine ya kufanyia uhalifu wao lakini sio Geita

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS